Kenya wapo mbali kuliko sisi.Hivi vijumba vya NSSF na NHC vya ajabu visivyoendana na karne hii ni vya hovyo sana.Nimeona
Boda254 ame-post picha za mlimani apartment na nyinginezo hatuwezi shindana nao hadi haya mashirika yetu yabadili fikra na kujenga apartment za kueleweka.