I iphone 18 promax JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,921 Reaction score 2,161 May 17, 2015 #1 kuna jamaa yangu ananisumbua anataka kununua gari ya kulipia kidogokidogo kwa hapa mwanza ni sehemu gani wanatoa huduma kama hii nimechoka kumdanganya
kuna jamaa yangu ananisumbua anataka kununua gari ya kulipia kidogokidogo kwa hapa mwanza ni sehemu gani wanatoa huduma kama hii nimechoka kumdanganya
E ELX JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 328 Reaction score 379 May 17, 2015 #2 Usiendelee kumdanganya. Chakufanya tembelea show rooms za magari zilizopo hapo Rocky City na uongee nao, maana lazima kuwe na kuandikishana kwa kina ili mtu asije sepa na mzigo. Naamini unaweza kupata baada ya hao kujiridhisha na uhakika wa kulipwa!
Usiendelee kumdanganya. Chakufanya tembelea show rooms za magari zilizopo hapo Rocky City na uongee nao, maana lazima kuwe na kuandikishana kwa kina ili mtu asije sepa na mzigo. Naamini unaweza kupata baada ya hao kujiridhisha na uhakika wa kulipwa!
J juva Member Joined Mar 25, 2013 Posts 90 Reaction score 34 May 18, 2015 #3 Nenda karibu na pk hotel atafanikiwa
jamii01 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,988 Reaction score 1,437 May 18, 2015 #4 Karibuni mwanza siku hakuna sangara tena ila kuna mawe tu ndio yamebaki..
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,406 May 18, 2015 #5 juva said: Nenda karibu na pk hotel atafanikiwa Click to expand... Yule muhindi hafanyi hiyo kitu ng'ooo
juva said: Nenda karibu na pk hotel atafanikiwa Click to expand... Yule muhindi hafanyi hiyo kitu ng'ooo
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 May 18, 2015 #6 unataka kulipa kwa mda gani tukusaidie? Na gari gani unataka?