Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 13,274
- 22,475
Safi sana kwa kujiongeza. Mwanaume PambanaNimekuwepo miezi kadhaa jijin Mwanza nikitafuta vibarua pia kazi niliyosomea
Diploma marketing and public relations
Lakini fursa huku zunaonekana ni ngum Sana kupatikana
Mwenyejii naomba muongozo vizuri niweze kujikwamua nipate pesa nikachukue ujuzi garage wa umeme wa magari
0626456047
Kwani Kila Nchi hapa Duniani iliyoendelea Ina viwanda?Mkuu furusa ni ngumu sio MWanza tu bali ni nchi nzima, Viwanda hakuna, na ndio vitu vingeweza kuwapa ajira vijana. Nchi ejaa Frame, sasa unategemea nini kwenye Frame economy?
Kuna shida sana nchi hii, hatufanyi uzalishaji bali uchuuzi
Mama anatimiza wajibu wake wa kiserikali, individual level ni Yako.Ukiondoa akili ya kulaumu utaona fursa vinginevyoWananchii tunaishije Sasa kwa mlengo huo
Lkn kilasiku sifa kwa MAMA DUUH
Kauli za Walamba asali hizi....mtoe sasa kwenye teuzi miaka mitatu tu Stroke hiyo hapoMama anatimiza wajibu wake wa kiserikali, individual level ni Yako.Ukiondoa akili ya kulaumu utaona fursa vinginevyo
Mazingira yapi hayo ambayo unadhani Serikali haijafanya? Ni jambo la kushangaza kulaumu Serikali pasipohusika wakati Kuna watu wanafanya hayo unayosema Sasa sijui wao wakifanyaje bila Serikali.Mtu akipata kahela anakimbilia kujenga frem na nyumba za wapangaji.
Labda serikali ingeweka mazingira mazuri ya uwekezaji hawa wanaopata hizo pesa wangeweza kufanya hata joint-ventures wakaanzisha hata viwanda vya kati ajira zingepatikana na serikali ingepata kodi maradufu kuliko kujaza magofu nchini.
Mimi sio mlamba asali Wala Sina uteuzi wowote naongea uhalisia.Kauli za Walamba asali hizi....mtoe sasa kwenye teuzi miaka mitatu tu Stroke hiyo hapo
Sera mbovu za kodi ndio zinafanya watu wapeleke pesa kwenye projects ambazo hazizalishi ajira.Mtu akipata kahela anakimbilia kujenga frem na nyumba za wapangaji.
Labda serikali ingeweka mazingira mazuri ya uwekezaji hawa wanaopata hizo pesa wangeweza kufanya hata joint-ventures wakaanzisha hata viwanda vya kati ajira zingepatikana na serikali ingepata kodi maradufu kuliko kujaza magofu nchini.
UongoMimi sio mlamba asali Wala Sina uteuzi wowote naongea uhalisia.
Kama hutaki endelea kulaumu Serikali utaona kitakachofuata.
OkUongo
Mkuu kwa upeo wako huoni kama serikali ikiweka sera nzuri za kodi hivi viwanda vya mitaji mdogo vitastawi na kuzalisha ajira?.Mazingira yapi hayo ambayo unadhani Serikali haijafanya? Ni jambo la kushangaza kulaumu Serikali pasipohusika wakati Kuna watu wanafanya hayo unayosema Sasa sijui wao wakifanyaje bila Serikali.
Mpaka hapo tutakapoondoa akili ya kulaumu Serikali ndio tutaona fursa na kuzitafuta.Hakuna fursa inayokufuata kwenye mazingira ya ushindani
Hujui unachoongea.Tena Kwa taarifa Yako tuu kwenye viwanda vidogo vidogo hakuna kero zozote Wala Kodi.Mkuu kwa upeo wako huoni kama serikali ikiweka sera nzuri za kodi hivi viwanda vya mitaji mdogo vitastawi na kuzalisha ajira?.
Sasa hivi Tra wanafunga account za wafanyabiashara hata kama wanakudai milion 5 ambazo hujalipwa na mteja, kibaya zaidi wanachukua Hela bila idhini yako.Mazingira yapi hayo ambayo unadhani Serikali haijafanya? Ni jambo la kushangaza kulaumu Serikali pasipohusika wakati Kuna watu wanafanya hayo unayosema Sasa sijui wao wakifanyaje bila Serikali.
Mpaka hapo tutakapoondoa akili ya kulaumu Serikali ndio tutaona fursa na kuzitafuta.Hakuna fursa inayokufuata kwenye mazingira ya ushindani
How correct is this info..?Sasa hivi Tra wanafunga account za wafanyabiashara hata kama wanakudai milion 5 ambazo hujalipwa na mteja, kibaya zaidi wanachukua Hela bila idhini yako.
Hayo ndio mazingira mazuri ya biashara?
Kaa na wafanyabiashara uwaulize watu wanakufa Kwa stress.
Achana na huyo ChawaSasa hivi Tra wanafunga account za wafanyabiashara hata kama wanakudai milion 5 ambazo hujalipwa na mteja, kibaya zaidi wanachukua Hela bila idhini yako.
Hayo ndio mazingira mazuri ya biashara?
Kaa na wafanyabiashara uwaulize watu wanakufa Kwa stress.
TRA wanachukuaje hela bila idhini Yako? Hao ukiwakoromea mbona wanasanda? Pili Kwa nini hamlipi hata Kwa kupunguza?Sasa hivi Tra wanafunga account za wafanyabiashara hata kama wanakudai milion 5 ambazo hujalipwa na mteja, kibaya zaidi wanachukua Hela bila idhini yako.
Hayo ndio mazingira mazuri ya biashara?
Kaa na wafanyabiashara uwaulize watu wanakufa Kwa stress.
Ungekuwa unauza hata nyanya usingeandika huu upuuziTRA wanachukuaje hela bila idhini Yako? Hao ukiwakoromea mbona wanasanda? Pili Kwa nini hamlipi hata Kwa kupunguza?
Pamoja na hayo Wafanyabiashara wanasema hali ni nafuu kuliko tulikotoka.
Mwisho muwe mnatoa taarifa na lazima mjue wapi Kwa kutoa taarifa,tafuta pages za Wizara ya Fedha , biashara, Mawaziri husika nk mnatoa taarifa huko watafuatilia ila ukikaa kimya hawawezi kujua nini kinafanyika Kila Kona ya Nchi.
Mimi Huwa sifanyi biashara za uchuuzi nalima na kufuga,hizo za uchuuzi ni prone Kwa TRA Iko hivyo Dunia nzima.Ungekuwa unauza hata nyanya usingeandika huu upuuzi
SawaMimi Huwa sifanyi biashara za uchuuzi nalima na kufuga,hizo za uchuuzi ni prone Kwa TRA Iko hivyo Dunia nzima.
Extractive ni less taxed kuliko service industry.
Hushangai Mbeya ni ya 3 Kwa GDP kubwa Tanzania nzima,na ya 4 Kwa Watu wenye kipato kikubwa ila haipo hata top 10 ya Mikoa inayolipa.kodi nyingi TRA?
Unajua sababu? Jibu ni kwamba tuko kwenye Kilimo tunalima na kuuza shambani tunapata pesa zetu tunawaachia nyie wachuuzi mpambane na TRA na Kodi hatulipi.
Ukitaka Mali utaipata shambani uzuri tunalima mazao tofauti Ili bei ilianguka zao 1 ,zao jingine litusaidie.
Endeleeni kufungua frame.
Mimi Huwa sifanyi biashara za uchuuzi nalima na kufuga,hizo za uchuuzi ni prone Kwa TRA Iko hivyo Dunia nzima.
Extractive ni less taxed kuliko service industry.
Hushangai Mbeya ni ya 3 Kwa GDP kubwa Tanzania nzima,na ya 4 Kwa Watu wenye kipato kikubwa ila haipo hata top 10 ya Mikoa inayolipa.kodi nyingi TRA?
Unajua sababu? Jibu ni kwamba tuko kwenye Kilimo tunalima na kuuza shambani tunapata pesa zetu tunawaachia nyie wachuuzi mpambane na TRA na Kodi hatulipi.
Ukitaka Mali utaipata shambani uzuri tunalima mazao tofauti Ili bei ilianguka zao 1 ,zao jingine litusaidie.
Endeleeni kufungua frame.
BarikiwaMimi Huwa sifanyi biashara za uchuuzi nalima na kufuga,hizo za uchuuzi ni prone Kwa TRA Iko hivyo Dunia nzima.
Extractive ni less taxed kuliko service industry.
Hushangai Mbeya ni ya 3 Kwa GDP kubwa Tanzania nzima,na ya 4 Kwa Watu wenye kipato kikubwa ila haipo hata top 10 ya Mikoa inayolipa.kodi nyingi TRA?
Unajua sababu? Jibu ni kwamba tuko kwenye Kilimo tunalima na kuuza shambani tunapata pesa zetu tunawaachia nyie wachuuzi mpambane na TRA na Kodi hatulipi.
Ukitaka Mali utaipata shambani uzuri tunalima mazao tofauti Ili bei ilianguka zao 1 ,zao jingine litusaidie.
Endeleeni kufungua frame.
Wewe ndo hujui unachoongelea umebakiza tu kusifia. Na sijui kama umewahi kufanya biashara!Hujui unachoongea.Tena Kwa taarifa Yako tuu kwenye viwanda vidogo vidogo hakuna kero zozote Wala Kodi.
Kuingiza mitambo ya kazi ni gharama ndogo mno eg kuingiza trekta ni bei kiduchu kuliko kulipia Kodi paso.
Hamna kitu mnafuatilia ila kazi yenu kulaumu na ku likes page za kina Mange wakati wao wanaingiza pesa 😂😂