Hongera kwa kuliwakilisha vizuri kiasi kwa picha Jiji la Mwanza. Utanogesha zaidi ukiweka picha nyingine zaidi ya Hotel km vibanda hasara; migahawa ya wazi; masoko rasmi na yasiyo rasmi; vituo vya kuegesha vyombo vya usafiri na 'stand' za mabasi; nk

maneno kama haya ni ya mtanzania asiye a staha. kuwa mstaarabu madam we ni mtanzania unacholazimisha wewe udhi haukuruhusu. by the way kwanini tugombanie fito?