Sasa base kwaapa tz amna maali patam kama arusha uliza wa2 walioishi uku uambiwe kuna life style ingine ambayo kwa kila nchi dunian inakua mkoa mmoja2 chuga tumebarikiwa
Sasa base kwaapa tz amna maali patam kama arusha uliza wa2 walioishi uku uambiwe kuna life style ingine ambayo kwa kila nchi dunian inakua mkoa mmoja2 chuga tumebarikiwa
Ilemela baado ina hadhina kubwa ya aridhi ambayo haijavamiwa hasa eneo la Kaskazini Mashariki. Mipango miji wakiweka nguvu tutakuwa na bonge la mji ndani ya jiji.
Jamaa 1 anaitwa Mustapha ofisi yake ipo karibu na ilipohamishiwa clinic Mirongo anauza aluminium na finishing zingine na ule mfence mtamu pia pale nyansaka karibu na amazon kaweka apartment