Nakataa mkuu, apartment ya kuish mtu haiwez kuwa eneo sensitive kama hiyo rafiki, pale kuna petro station, mahotel then mtu haweke nyumba ya kuishi tena barabarani.
Ulaya ndio huwa hawana mambo mengi kwenye cbd na look gud sana, parking, garden, recreational area, commercial buildings, market and malls hivi ndio vitu muhimu kwenye cbd