Yeah bwana.... wanasema integrate with your neighbor but don't assimilate with him ...uko Arusha lakin usisahau culture yako na home land ukaassimilite uchuga chuga

Mwonekano wa soko kuu kwa sasa japo kwa ndani limekamilika kwa kuweka talazo kwa chini kazi kubwa ni kuweka roof ambayo inaendelea adi kufika mwezi wa pili taswira ya soko itakuwa imeonekana, lakini ili soko ni kubwa balaa
Nyasaka inakuja juu sana kwa sasa majengo mengi ya ghorofa na hotel za gorofa zimeshika hatamu, pia kuna ujenzi wa mall pale sijui ni shopping centre kama sio plazza, hapo karibu na maduka tisa.