Ndio maana nikakwambia wewe ni kiazi, hii thread inazungumzia jiji la Mwanza we unakuja na mambo ya Arusha we mzima kiakili?
Arusha kuna five star hotels sasa inatuhusu nini kwenye thread ya Mwanza City Gallery?
kuna mtu kauliza kama kuna five stars hotel mwanza. hotel zilizopo kwasasa hakuna five star ila zilizopo ni nzuri tutaupload picha zake. The only five star hotel ni ile ya nssf ambayo bado ipo kwenye ujenzi.