Anaelinganisha Mwanza na Arusha hajui hata historia ya majiji haya mawili. Kwa ufupi Mwanza ilitangazwa kuwa jiji mwaka 2002, Arusha mwaka 2010. Mwanza inaundwa na manispaa mbili; mwanza jiji na manispaa ya Ilemela. Arusha halmashauri ya Arumeru inayounda jiji la Arusha bado haijawa na hadhi ya kuitwa manispaa. Baada ya Dar inafuta mwanza na hayo majiji mengine Arusha, Tanga, Mbeya yanafuata. Ahsante