Christer Lugenge
Member
- Oct 16, 2017
- 14
- 9
Wataalam,
Nina mwanya kwenye taya la chini. Mwanzo niliona kama issue ya kawaida tu coz ilikua ngumu mtu kunotice, mwanya ulikua mdogo sana. But kadiri siku zinavoenda naona unazidi kupanuka kiasi kwamba mtu asiyenifahamu leo anaweza kufikiri nimeng'oa jino (nina pengo). Sometimes ninapoongea na mtu nakosa confidence ya kumuangalia usoni au nakua nalazimisha kufumba kinywa ili mwanya usionekane.
Siufurahii kabisa hali hii na ningependa kuziba au kuadjust meno yafunge (kama inawezekana). Naomba kufahamu ni hosipitali gani au Dr yupi hapa Dsm anaweza fanya hii kazi na teknolojia ipi itatumika (kuadjust, kuweka jino la 33, n.k). Pia naomba kujulishwa gharama zake na muda utakaotumika hadi kurekebisha hii hali kama kuna anayefahamu au aliwahi fanya tiba hii.
NB:
*Jinsi yngu ni ME
*Umri early 30's
*Sijawahi ng'oa jino
you gara byurifu lips swtyunaona hata mm bado haya jakaa yakabanana vizuri ko ww jikubali tu
Asante kwa ushauri wako mkuummmh mbona una mianya mingi? acha utatafuta matatizo bure koz hiyo ni uimbaji wa Mungu
Huu mwanya umezidi mkuu, mwanzo ulikua kawaida kabisaRidhika na ulivyoumbwa tu
Mie sio mmasaisisi wamasai usipokua na mwanya hujaitwa mmasai
pia unaweza kumtembelea prof lipumba umuulize ni jinsi gani alijikubali hivyohivyo
usiogope mkuuHuu mwanya umezidi mkuu, mwanzo ulikua kawaida kabisa
Mie sio mmasai
Lipumba kwan anamwanya?! Sijawah uona labda anaficha
Mbona kawaida mkuu! Kuwa na amani! Ukienda huko ndo watakuharibu sasaWataalam,
Nina mwanya kwenye taya la chini. Mwanzo niliona kama issue ya kawaida tu coz ilikua ngumu mtu kunotice, mwanya ulikua mdogo sana. But kadiri siku zinavoenda naona unazidi kupanuka kiasi kwamba mtu asiyenifahamu leo anaweza kufikiri nimeng'oa jino (nina pengo). Sometimes ninapoongea na mtu nakosa confidence ya kumuangalia usoni au nakua nalazimisha kufumba kinywa ili mwanya usionekane.
Siufurahii kabisa hali hii na ningependa kuziba au kuadjust meno yafunge (kama inawezekana). Naomba kufahamu ni hosipitali gani au Dr yupi hapa Dsm anaweza fanya hii kazi na teknolojia ipi itatumika (kuadjust, kuweka jino la 33, n.k). Pia naomba kujulishwa gharama zake na muda utakaotumika hadi kurekebisha hii hali kama kuna anayefahamu au aliwahi fanya tiba hii.
NB:
*Jinsi yngu ni ME
*Umri early 30's
*Sijawahi ng'oa jino
YAKO MAZURI HAYANA SHIDA MBONA SEMA MIMI SASAunaona hata mm bado haya jakaa yakabanana vizuri ko ww jikubali tu
Duh njoo tutafte tiba mkuuHEBU ANGALIA YANGU KWANZA ALAFU UTULIZE WENGE
View attachment 673788
Thanks mkuu, anaitwa nan au nikienda tu pale ntampata?Nenda kwa dentist akisha Fanya tathmini ikiwa ni pamoja na kuangalia kama kuna jino lililoong'olewa au LA. Dr anayeweza kufunga braces yuko Smile dental clinic iko Posta karibu Holiday Inn city centre
Hiyo inapaswa uwaone orthodontist. Dentist wakawaida hawafanyi teeth alignment. Ukiwaona wataweka teeth braces. Zinaanzia dola 1500. Utakaa nazo kama mwaka. Pia utakendwa at least kila miezi miwili kwa checkup. Braces, shida yake ni kuwa hutaweza kula vitu vigumu kama groundnuts au cashew, apple nk, kwa muda kidogo.Wataalam,