Nimepata chumba katika hilo soko,ile floor ya katikati...nilitaka floor ya chini lakini zimejaa,nilipanga niweke nguo lakini kwa floor hii ya kati nguo ni changamoto.
Naombeni kujua kwa wenye kulijua soko lile,je ile floor ya kati naweza weka biashara gani ikafaa?
Kwa nguo kweli ungepotea,wengi wanaenda mwanjelwa ya zamani na mfikemo,tafuta huduma ya pekee itakayo wafanya watu wapande juu badala ya kumalizana huku chini.
Kwa nguo kweli ungepotea,wengi wanaenda mwanjelwa ya zamani na mfikemo,tafuta huduma ya pekee itakayo wafanya watu wapande juu badala ya kumalizana huku chini.