Mwanaume wa Dar katika ubora mpya!

Nyie acheni roho mbaya, waacheni na ubora wao,somewhere amazing hahahahahahaha

Hicho ni kizazi cha jk
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] apo hamna wa dar bana..hao washamba tu wamenunua tecno uko vijijin wakawa wanajifunza kutumia app mbalimbali
 
Nafunga duka kariakoo, nilikuwa najua wanunuzi wangu kina dada kumbe wengine hawa, .. nahama na mie dar namuachia makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…