" ! Mwanaume Utakuwa Wewe !!!!!!!!!!! "

Me370

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Posts
985
Reaction score
293

Kauli zinazokufanya UmButue Mke/Mpenzi wako

​
Je ni kauli gani inayoweza kukufanya wewe kama mwanaume ambaye mstarabu umpige mpenzi/mke wako. You gotta know that this doesn't relate to me at all. Please understand me here I'm not saying kupiga ni acceptable it should be avoided at all cost, whether umemfumania au umekasirishwa kwa lolote lile. All I'm trying to find out is what makes you EXPLODE. I hope you get ma drift. Kauli gani inaweza kukutia hasira hadi ukauweka ustarabu wako pembeni?

Please don't comment things like ohh I'm an angle and I can't raise my hand to beat a woman, there is a line that just can't be corssed for everyone. Like they say Life isn't fair and you can't expect a raging bull not to charge just because you are a vegetarian. You may be cool but what abt the person you are with??????

This is what made me think about this, Jana baada ya long day at work nikiwa close to home nika drop kwenye supermarket moja kuchukua japo ka milk. Unfortunately nika bump into a smart dressed man akageuka na kusema sorry siko vizuri siku ya leo then suddenly akatokea mwanamke huko alikotoka bila salamu au nini na kumwambia mshkaji muone kwanza " ! Mwanaume Utakuwa Wewe !!!!!!!!!!! " Puuuuuu alafu akamtemea mate usoni na kusepa. Not to mention baadhi ya cheche zilinirukia. Trust me I'm a very friendly man but if I was that dude at that time in public, Yule Mwanamke ningemtandika Makonzi mazito kishenzi palepale.
 
Aisee huyo dada si mstaarabu kabisa, halafu nimchokozi!
 
I'm not saying kupiga ni acceptable it should be avoided at all cost, whether umemfumania au umekasirishwa kwa lolote lile.
Hapana!
Kuna binadamu bila kipigo hawaendi

Na kuna makosa yanastahili kipigo
Sio sahihi kuzuia kipigo "at any coast"
Kipigo ni fundisho

Ila hapo kwenye kufumania napinga kipigo kutumika!!!!!
 
Sio makofi tu huyo alihitaji kudhalilishwa haswa!!!!!

Alitakiwa kumpa adabu ya maisha yake huku uswazi tunaita kukichafua
 
Haipo hata moja itakayo fanya nimpige/nipigane na mke wangu.
Ila zipo nyingi zitakazo fanya niachane nae:

1. Kumtukana au kumdharau mamangu kwa sababu yoyote iwayo.
2. Kwenda kinyume na imani yangu.
3. Kutoka nje ya ndoa kwa sababu yoyote iwayo.

Mengineyo yote,yana vumilika.

Note: Siwezi kumpiga mwanamke na ukurya wangu wote. Believe it,or leave it.
 
Aisee si sawa huyo mwanaume mvumilivu sana me ni mwanamke lakini mwanaume anifayie hivyo ningefurukuta nimjeruhi ata kwa jiwe mweee, fedheha gani hiyo loh
 
Je,alistahili adhabu gani Doctor?

nitamwambia stop talking lets fight......lol (just kidding)! Nitamwangalia kwa dharau na kumuonyesha ishara kuwa she is crazy then nitasepa sitomuongelesha chochote maana kunawengine wanapenda ligi isiyoisha mwishowake akuaibishe buree!
 
Hapana!
Kuna binadamu bila kipigo hawaendi

Na kuna makosa yanastahili kipigo
Sio sahihi kuzuia kipigo "at any coast"
Kipigo ni fundisho

Ila hapo kwenye kufumania napinga kipigo kutumika!!!!!

Amaaa,kama unaweza kumpiga mkeo kwa kosa lolote lile (ukidhani una mfunza),
una mtofautishaje MKEO na MTOTO wako?
 
mwanamke anaweza kukuprovoke to the extent ukimwacha ivi ivi bila kipigo hata mwenyewe atashangaa wewe ni mwanaume wa namna gani
 
akiniambia nina kibamia nampiga mangumi.
 
Aisee si sawa huyo mwanaume mvumilivu sana me ni mwanamke lakini mwanaume anifayie hivyo ningefurukuta nimjeruhi ata kwa jiwe mweee, fedheha gani hiyo loh

Tatizo ni kwa mazingira ya habari unashindwa kujua,huyo ni mke wake,mchumba wake au
ni mdada tu from no where kamwambia hivo?

1. Kama ni mke/mchumba.....tuta yamaliza nyumbani. ila sio kwa kupigana,any means necessary i guess ntakua mme mbaya,maana tusipo fikia muafaka suluhisho langu ni KUACHANA.

2.Kama mtu (mwanamke) tu katokea na kusema hivo duh,ntaahirisha nilicho kua nakifanya,najifuta uso naondoka hapo. (by God's grace) nikaombe tu chumbani.

3. Ila kama ni mwanaume duh,patachimbika.
 

I love your Insight.........
 
mh! twende kwenye point ya mada...

1. mwanamke akinikemea hata kama k0sa langu.. amecros line.
2. tulipanga tumeet ila siku hio namcall akisema alisahau...
amecros line.
hayo ni some tu ambayo mi naona AMECROSS LINE.. Kumpiga au kutompiga tajua hap0hap0.. i"ll know how to cross that bridge nikifika kwenye i0 bridge.
 
nitamwambia stop talking lets fight......lol (just kidding)! Nitamwangalia kwa dharau na kumuonyesha ishara kuwa she is crazy then nitasepa sitomuongelesha chochote maana kunawengine wanapenda ligi isiyoisha mwishowake akuaibishe buree!

Na huyo mdada alikuwa anaitaka tu league....Ni mchokozi aiseeee
 
Si Sawaaaa!!!!.....ingekuwa ni mimi sijui...ila bora sie Tamatheo
 
Binadamu wote ni vichaa, kila kinayempanda hajitambui hadi kimeshuka tena. My friend only god can rescue you from this ambush.
 
akiniambia nina kibamia nampiga mangumi.

Ha ha ha,hapo itabidi aniambie kibamia ka-compare na kipi.
Na baada ya kuona na-kibamia what next? Nikiongeze au anaenda tafuta kingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…