Mm binafsi jambo kama hili ni hadi linikute ndio nijue nitafanya nn. Hapa naweza ujimwambafai tu ila uhalisia ukinikuta naweza fanya tofautiWa salaam JF
Una watoto watatu umri wao juu ya miaka 15.
Ukasikia mkeo akisema kuwaambia watoto hana uhakika kama baba ni wewe au sio wewe!!
Maneno yakafika kwa ndugu na wazee wa pande zote mbili!
Likaja shinikizo la kupima DNA, utakubali kupima!? Au bora ndoa ife tu!?
(Kupima DNA ni njia ya aidha kunusuru ndoa au kuvunja ndoa!)
NB; wewe binafsi hujawahi kuhisi kuwa watoto sio wako na wala hujawahi kufikiria habari za kupima DNA!
Mkuu nielekeze namna ya kuandika haya maandishi makubwa yaliyokoza
Akikuelekeza nitag pleaseMkuu nielekeze namna ya kuandika haya maandishi makubwa yaliyokoza
Hiyo ni Image ila mbona text editor ya web inatool zoteMkuu nielekeze namna ya kuandika haya maandishi makubwa yaliyokoza
Nakubakli Vimeo sitaki!Wa salaam JF
Una watoto watatu umri wao juu ya miaka 15.
Ukasikia mkeo akisema kuwaambia watoto hana uhakika kama baba ni wewe au sio wewe!!
Maneno yakafika kwa ndugu na wazee wa pande zote mbili!
Likaja shinikizo la kupima DNA, utakubali kupima!? Au bora ndoa ife tu!?
(Kupima DNA ni njia ya aidha kunusuru ndoa au kuvunja ndoa!)
NB; wewe binafsi hujawahi kuhisi kuwa watoto sio wako na wala hujawahi kufikiria habari za kupima DNA!
Kwanza mwanaume unaanzaje kukaa na mwanamke zaidi ya miaka 2
Sjui kwa wenzangu ila mimi nikiishi na mwanamke miez 11 huyo ni ninja mkomavu........hakuna mwanamke atatoboa na mimi zaidi......unakwepa ujinga kama huo uliolizwa hapo juu