Mwanaume ni nani??

Write your reply...naweza nikakuonyesha nakupenda nakujali nimekufa nimeoza sio Kama nimekupenda kwel nimekutaman nimefanya yote nikupate tu hii pia ni miongon mwa tabia yetu
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji30][emoji24]

Jr[emoji769]
 
Last but two..
Muda mwingi akili ya mwanaume haiwazi mapenzi bali tunawaza ngono. Ni vitu viwili tofauti Sheikh!
 
TRUE STORY BROTHER
 
Mwanaume ni kiumbe cha ajabu sana akijui kinataka nini yani kiufupi wanaume wana akili za kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…