kweli tuna wavulana humu [emoji134]Unakwenda wapi? Au maji ya shingo?
Namuona hata daby ambae huwa ni lazima ukute comment yake uk wa kwanza kabisa sijamuona leo. Sasa najiuliza kumbe humu tuna wavulana tu!!!
Asanteee pia na nyie mbarikiweNa Mungu awabariki WANAUME wote.
Dhuu!!! Hii ya leo umekujaUnakwenda wapi? Au maji ya shingo?
Namuona hata daby ambae huwa ni lazima ukute comment yake uk wa kwanza kabisa sijamuona leo. Sasa najiuliza kumbe humu tuna wavulana tu!!!
Chubuku la mbege please mkuu!Sawa nachukua togwa hapa
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji1]
Nilitaka nitoe povu ila nikaona bora nipite fasta na bike
Watu wanajipima kimya kimya na kutoka ndukiiiii.hata ww [emoji15]
Acha ulevi ww ni hatar kwa afya😀 😀 😀 😀 😀
Na mm nchukulie mbege
Pombe adui wa mwili na nafsi yangu bwanaa.Chubuku la mbege please mkuu!
Pole mkuu! Wengine ni chakula...Pombe adui wa mwili na nafsi yangu bwanaa.
Unataka radhi ya mama inishike bure
Ckunywi naonja tuAcha ulevi ww ni hatar kwa afya
Endeleeni tu mkomae sura vizuriPole mkuu! Wengine ni chakula...
Ilo mradi tuu usiwe mlafi wa pombe..[emoji23][emoji23][emoji23]
Ckunywi naonja tu
agiza mkuuuu ongeza na ingine utailipiaSawa nachukua togwa hapa
duuu we msichana mbona mapovu mengiWape wape haooo! Wengine ni vivulana vyenye ndevu!
Kwani uongo kaka yangu???duuu we msichana mbona mapovu mengi
safiiiii ujumbe wako nilifikishaMama Transcend asante sana!
Asante kwa kunizaa mwanaume!
hahaha siaminiWatu wanajipima kimya kimya na kutoka ndukiiiii.
Nimepata salamu zakoChubuku la mbege please mkuu!