Mwanaume ni msimamo

Midazolam

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
807
Reaction score
1,349
Kwa akili yangu na kuona jambo ambalo litanifaa kumwambia mtu ukweli kuliko kukaa kimya ni vizuri kuanza moja.

Ni bora kuwa wa moto au kuwa wa baridi kuliko kuwa vuguvugu.

Ukweli utaniweka huru,asanteni kwa ushauri nimeamua kusikiliza moyo zaidi
 
Uko sawa, hata likitokea la kutokea huna wa kumlaumu ila nafsi yako
 
Carbamazepine ipo katika class nyingine tofauti na hizo nilizozitaja..Hizo nilizozitaja ni depressant wakati carba ni anticonvulsant
[emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514]
 
Ni kweli mkuu,
Ila kuna shaka kdg

Kuna jambo la kumwambia mtu ukweli,na jingine haliwezekani

Yote haya ni kwa sababu ya jinsi mtu mwenyewe alivyo/atakavyopokea/uwezo wa mtu kuchambua na kuelewa.

Pia ukweli ni kutokana na uhalisia,may be siasa nk..ila personal isssue ni challenge sana

Yote kwa yote,kuna watu wengine usipomuingia kisaikolojia anakuchukia mazima!
 
Kwenye haya mambo mkuu tambua wanaumia sana ni jinsia ya 'me' kutokana kwamba tunajitoa sana kwa 'ke' lkn hawaoni na kupima au kutambua yale tunayowafanyia inaumiza sana mkuu lkn mwisho utafanyaje,ukiona kamanda anamtwanga mtu risasi na kujiua amevumilia sana na ya nini tufike huko.
 
Hakika
Naunga mkono
 
Kila la kheri.
Asante, nafanya kazi mpaka masaa yanapita naomba mda wa ziada nalazimisha mpaka shift za night ili niweze kuweka mambo yangu sawa Ila unayemfanyia yote aoni,anachukulia poa.ipo siku naamini Mungu ananitazama kwa mema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…