Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Aug 15, 2013 Thread starter #21 madameA said: Ungenibamba wakati ule nikiwa under 18, ungefanikiwa kwa kutumia maneno tu. Lakini sasa hivi maneno hayanitoi pangoni. Kwa sasa maneno yako lazima yaambatane na supportive documents. Click to expand... ^^ Ha ha ha umenifanya ni tabasamu,,supportive documents,,kama naomba ajira? Loo! Mapenzi ya leo kaazi kweli kweli. ^^
madameA said: Ungenibamba wakati ule nikiwa under 18, ungefanikiwa kwa kutumia maneno tu. Lakini sasa hivi maneno hayanitoi pangoni. Kwa sasa maneno yako lazima yaambatane na supportive documents. Click to expand... ^^ Ha ha ha umenifanya ni tabasamu,,supportive documents,,kama naomba ajira? Loo! Mapenzi ya leo kaazi kweli kweli. ^^