Mkuu, hao mafundi wa Tanesco lazima waumie kwasababu hawafuati safety precautions na hawafanyi inspiration kwa hizo lifting equipments, na hata sina hakika kama wanafanya rope/body harnesses satisfactions kwa third partyHii michezo waifanye ulaya tu..
Bongo ukijichanganya unavunja kidevu..
Kwanza bongo kamba feki ,vyuma vina kutu..
Waulize tu mafundi wa tanesco yanayowapata
Ndio maana nasema hio michezo waifanye ulaya lakini bongo utakufa siku si zako uache watoto wako yatima..Mkuu, hao mafundi wa Tanesco lazima waumie kwasababu hawafuati safety precautions na hawafanyi hizo lifting equipments, na hata sina hakika kama wanafanya rope/body harnesses satisfactions kwa third party
Mkuu, kama haujui bora ukae kimya...Ndio maana nasema hio michezo waifanye ulaya lakini bongo utakufa siku si zako uache watoto wako yatima..
Kwanza hizo equipments nani atakupa kibongo bongo??
Mkuu, ebu tembea ujifunze ama walau upate exposure hata kidogo..... kabla ya kujibu majibu laini kwenye professionals za wanaume aiseeee
We unafikiri hiyo picha ni ya tembo ?Duhh hivi kweli kuna mtu Kama huyu
Sawa mkuu, ebu ukuwe na amani teleMkuu unaweza ukawa umenielewa tofauti. Nilikua najibu pist yako hasa pale uliposema hua unaangalia picha unashangaa ilikuaje ukawa unaning'inia 50 meters above the ground? Ndio nikasema unapokua na uhitaji unaweza kufanya kazi ambazo baadae unashangaa ujasiri ulitoka wapi?
Kosa langu inaweza ikawa kutumia neno njaa nikimaanisha uhitaji. Kama nimekukwaza kwa namna moja ama nyingine, niwie radhi
Itakuwa wakati wa baridi anahisi maumivuWe unafikiri hiyo picha ni ya tembo ?
Itakuwa wakati wa baridi anahisi maumivu
Mkuu Photoshop inaweza ni ujuzi tu anayeitumia.Photoshop haina ujanja wa kutengeneza tetemeko la ardhi miguuni kama hilo. Wapo wengi tu mkuu.[emoji18]