Mwanaume ni kugangamala hakuna lelemama

Joined
Nov 19, 2017
Posts
814
Reaction score
1,026
Ukizaliwa mwanaume ni Kugangamala
Ni kazi kwa kwenda mbele.
Napenda kuwatambulisha hawa Wadau
Wakiongozwa na Mr. Mwamnyanyi
Wamewaletea New Technology From Uk
Imeanzishwa kuchukua nafasi ya Majukwaa au (Scaffolding)
Huduma hii inaitwa "Rope Access Technician)
Hawa Wadau Wana Repair and Maintanance.
Unaweza kuwasiliana na Mr. Mwamnyanyi
Kupitia namba ya Whatsapp 0718 919 879.
Maoni yenu pia ni mhimu.
Ahsanteni.
 
Nakumbuka mwaka 2000-2003, niliwahi kufanya kazi yenye mazingira kama hayo ingawa haikua kazi hiyo......
Dahhhhh, sikuzile nilipiga mob sana, lakini huwa nikizitazama picha zangu miaka ile... huwa najiuliza sana ule ujasiri nilikuaga nautoa wapi wa kuning'inia above 50 matter higher
 
Hongera ndo uanaume huo.
 


Achana na hii kitu inaitwa njaa ndugu yangu.
 
Mwanaume una gangamala mpaka TAIRI zinaisha, halafu utaskia mdada anakuvunja GOTI kirahisi tu, ""Baby nitumie elf60 nikanunue VIATU vya harusi ya rafiki yangu, nimeona pahala vizuri kweli halaf bei rahisi"".[emoji18] [emoji47]

#wanawake, mungu anawaona[emoji18]
 
Achana na hii kitu inaitwa njaa ndugu yangu.
Mkuu, ebu tembea ujifunze ama walau upate exposure hata kidogo..... kabla ya kujibu majibu laini kwenye professionals za wanaume aiseeee
 
Ila inaonekana Jamaa kama wabinafsi kwanini wasi fundishe wenzao huo ujuzi au shida ni vifaa ....

Kwasababu nimeona hapo kwenye kupaka rangi hilo dubwasha wako wenyewe haileti picha nzuri

Inabidi wa transform huo ujuzi wao kwa watu wengine Tanzania ni kubwa na sehemu ni nyingi zinazoitaji hiyo huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…