Mwanaume mwenye IT skills anahitajika haraka

Mim nina lesen peke yake vp naweza kupata mkuu

Vigezo na masharti huzingatiwa....kama mwenzako atakidhi vigezo, itakuwa ngumu kupata bt usikate tamaa, go there and try to convice them.
 
UchΓ­zi sio lazima uokote makopo .salary jiwe nne na wewe huna kaz alaf unasema wanakunyonya ..we endelea kusugua mabench kitaa na utakufa lofa..

Sio wote wanaoomba kazi, hawana kazi. A cow always search for good pasture....kuna watu wanaomba kazi ili kuongeza kipato zaidi
 

Mr. Kandili, mbona nimempigia simu mr. Rohit kwenye namba ulioiweka, ila amesema deadline ishapita kwani deadline ilikuwa jana na kwenye huu uzi unasema deadline ni mwisho wa mwez huu wa tano. ila kama bado mi nipo tayari waweza ni pm wakati wowote. Natanguliza shukrani
 
Kaka mimi nina vigezo ila sina leseni. Ni head wa department na it technician katika chuo kimoja hata dar vp naweza kupata hyo fursa?

head of department bado unaulizia kazi ya kutumwa na mtu tena kwa laki nne kwa mwezi....? kwangu mie jambo hilo ni la ajabu
 
Wahindi bwana laki nne?.πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…