Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,357
- 62,604
ha ha ha ha weka maoni yako mkuuNadhani huu mjadala tusiuhadili maana hauna muafaka...
Miongoni mwetu kuna wanaohongwa, wanaohonga, wanaohongana na wasiohongwa wala kuhonga.
Kila mmoja aendeshe mahusiano yake aonavyo.
Mkuu hongo ni suala mtambuka....unaweza kuitoa pasipo hata kujua.ha ha ha ha weka maoni yako mkuu
Inawezekana ikawa kweli,swali la kujiuliza je hisia zao zinaendana na ile hali ya mtu kujali/kuhonga?Wanasema sisi tumeumbwa maprovider
ha ha ha ha nahisi pia, wanatumia udhaifu wetu ili kufanikisha mambo yao;kwa hiyo inamaanisha wao bila hongo hawapatwi na hisia?Mkuu hongo ni suala mtambuka....unaweza kuitoa pasipo hata kujua.
Ukisogelewa kidogo ukapapaswa kifua unasahau mjadala. Mimi wanachonikera tu wengi ni kupendea hongo basi.
Hapo sijajua mkuu....tafadhali usinigombanishe nao...nisije nikanyimwa salamu PM.ha ha ha ha nahisi pia, wanatumia udhaifu wetu ili kufanikisha mambo yao;kwa hiyo inamaanisha wao bila hongo hawapatwi na hisia?
Nakubaliana na wewe,hasa kwa wale wanaotaka ndoa na mwanaume fulani.Kwa sasa wahongaji ni wanawake! Wanaume hatuongi tena
ha ha ha ha ha,naona hawachangii wanatazama tuHapo sijajua mkuu....tafadhali usinigombanishe nao...nisije nikanyimwa salamu PM.
ha ha ha ha hatari hiyoKuna mmoja weekend hii baada ya kumaliza shows zetu akaona asisitize kabisa kuwa "uwe unanitunza!".
Nilibaki nacheka kibaharia tu.
Yaani kuonana inakuwa kama nakununua alafu bado nikutunze!
Hapo sjui Nadhani wangejibu waoInawezekana ikawa kweli,swali la kujiuliza je hisia zao zinaendana na ile hali ya mtu kujali/kuhonga?
Neno linasemaje mkuu?Jibu lipo hapa Mwanzo 3 : 1-20
Watakuja watupe majibuHapo sjui Nadhani wangejibu wao
Kuna ukweli,nadhani huwa wanatanguliza kwanza kuwa na uhakika wa kiuchumi kama chaguo la kwanza,na la pili baada ya kukamilisha la kwanza ni namna ya kutuliza hisia zake.Jibu lipo hapa Mwanzo 3 : 1-20
Na WANAUME wengi wanaamini wanawake, kwa kawaida, ‘wanapenda hela.’ Kwamba ukiweza kumhakikishia mwanamke 'uhakika wa kiuchumi' unakuwa umemaliza. Ingawa hatuwezi kupuuza ukweli kuwa uhakika wa 'kiuchumi' ni moja wapo ya mahitaji ya mwanamke, lakini si sahihi kuamini kuwa moyo wa mwanamke unaweza kuthamanishwa kwa fedha.
Fikra hizi walizonazo wanaume kuwa anachokihitaji mwanamke ni fedha zimeleta matatizo mengi katika mahusiano na ndoa. Kwa mfano, wapo wanaume ambao baada ya kuhakikisha wenzi wao wamepata mahitaji ya msingi, basi wanawatelekeza kihisia. Hali hii husababisha upweke mkubwa kwa wanawake hawa wanaojikuta hawana mtu wa karibu kuwasikiliza isipokuwa vitu.