Mwanaume kubaliana na Hali Yako...

mshamba_hachekwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2023
Posts
25,063
Reaction score
82,013
Sijui kwanini watu wanajisumbua kuhangaika na vitu ambavyo hawawezi kuvicontrol. Labda nielezee vizuri....

Sikuhizi kumekua na janga kubwa la wanaume kuwaza zana kuhusu ukubwa(hasa urefu) wa uume.

Yaani iko hivi.... Kitaalam saizi ya kawaida ya ndonga ya mwanaume ni urefu inch 5-5.5(ikiwa imesimama), inch 3-4 (ikiwa imelala). Kama yako ni zaidi ya hapo basi bahati yako.

Tatizo kubwa ni kwamba wengi skuizi mnaangalia sana pornography ambazo zinawafanya mjilinganishe na wanaume wengine. Wanaocheza pono wana ndonga kubwa kwasababu ndo inavyotakiwa kama jinsi wanaocheza basketball wanatakiwa kuwa warefu....

Saizi ya ndonga inaashiriwa na vitu mbalimbali(viko nje ya uwezo wako) ambayo siwezi elezea, ikiwemo kurithi...

Na hii kujipa stress kwa saizi ya ndonga pia imegundulika kuchangia kupunguza hamu ya tendo...

Na pia HAKUNA dawa yeyote ya kukuza ndonga, Kuna njia ya upasuaji tu ambayo inakuza unene sio urefu lakini ndonga inakuwa sio ngum kama kawaida ikisimama. Wanaowauzia eti dawa za kukuza ndonga ni matapeli, wanatumia udhaifu wenu. Dawa za kuongeza hamu zipo ila sio za kukuza ndonga.

Kibamia (kwa kitaalam "micropenis") ni pale ndonga inakuwa chini ya inch 3 ikisimama, hapa hamna namna utakufa bikra, ila inatokea kwa asilimia 0.6 tu ya wanaume. Hii inamaanisha wewe unaewaza una kibamia uwezekano wa kwamba unajidanganya ni mkubwa sana.

Wanaume msijipe stress na vitu ambavyo hamuezi kubadilisha....

Hii ni orodha ya saizi ya ndonga kwa nchi kwa wale mnaopenda kufuatilia;

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…