Mwanaume kiwembe si rijali!!!

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
1,428
Reaction score
456
Imekuwa kitu cha kawaida kwa wanaume wenye 'mambo mengi'kuonekana wa kawaida pale wanapobadilisha wanawake kana kwamba ni fahari kuwa na mabibi wengi.
Kwa utafiti wangu wa ki-OBSERVATION kutoka kwa marafiki 'aina hii'nimegundua kuwa hawana uanamume wowote katika miili yao......
Aidha wameupoteza kabla au 'in the process'.......,.
Nadeal na wa 'In the process'
Huyu anaanza kama mwanaume wa kawaida kabisa(lakini mpenda ngono)....ambaye anaanza kuwa na options tofauti huku akiamini atasettle na mmoja....akiwa anaendelea kuwa na hao tofauti anaanza kuboreka (mara nyingi mmojawapo akizingua anaifanya kama sababu)anatafuta ladha nyingine sababu ya nature yake yake ya kupenda ngono anajaribu vitu tofauti na watu tofauti.....Ile inaharibu utaratibu wa akili yake wa kufikiri zaidi linapokuja swala la wanawake......Anafikia hatua akiwa na huyu leo 'damu' kesho inataka mtu mpya na mara nyingi hii ni kazi ya akili dhaifu 'aliyoinunua njiani'mwisho anajikuta anaboreka na wanawake anataka kitu kingine....(Anaamini bado ana control ambayo aliipoteza day one alipoanza kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja)........Yes...ukiongeza mpenzi hata mmoja au kwa waliooa 'NYUMBA NDOGO'unakuwa umepoteza 'ctrl'ya UANAMUME WAKO.....(take it or leave it)
........Tumalizie....
Huyu akiwa anatafuta kitu tofauti akitegemea msaada wa rafiki 'PORN'...atagundua kuna threesome atajaribu,atagundua mashouger atajaribu hapo ndio kuna mtihani sababu alichonacho mwanaume mwenzake naye anacho...kwakuwa yuko addicted tayari na NGONO atachunguza ni nini kinamfanya mwanaume mwenzake asikie Raha...Basi naye 'in the process'ATAJARIBIWA.........Akipata influence mbaya zaidi ATANOGEWA.....ANAKUWA KIWEMBE BUTU!.....akishtuka inakuwa TOO LATE...ili kuficha aibu hulazimika kutumia dawa za kuongeza nguvu huku akijifanya 'BADO YUMO' kwa kubadilisha wadada kila leo....HURUMA!!
......unaruhusiwa kubisha....
 

Sijaelewa kapsa"!!!!!!!"""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…