Mwenye pesaaaa...
1.anayeweza kulipia dstv premium hata ifikie 500k
2.ambaye halalamiki jf eti dstv wamepandisha
3.lazma umiliki gari lisilopungua 45mil
4.unampeleka dem mall za maana sio karume au kariokoo
5.ambaye ha report thread kwa mods mada hii inapomgusa
Dr.holygrail rweyemamu
Dstv premium loyalist
Hiyo namba 3 tuwahurumie kidogo........hata 15m sio mbaya.........
kuna nyuzi zimekatika mahali .. jaribu kuwaona wataalamu
Kweli tunatofautiana.....
Wengine hivyo vyote sio vigezo....
We hutaki kupelekwa shopping za maana??
Kibongo bongo hata huko shopping malls utakutana na mchina tu....
So wataka shopping za dubeyi??
Sipendi kabisa wanawake limbukeni mimi,ila uzuri ni kwamba,mwanaume limbukeni huchukua pia mwanamke limbukeni,this goes to snake to snake!