Truth will Remain
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 254
- 126
Huko KUKUTWA si ndio kufamaniwa kwenyewe...kuna haka katabia ka kusema kuwa nimemfumania baba fulani, mara ooh nimemfumania fulani na binti wa fulani.Ukweli ni kwamba mwanaume hafumanwi ila anakutwa.
Hii inamaanisha kuwa mwanaume ndio anatafuta mke,kwahiyo anatakiwa kufanya majaribio ya mke aliye mwema.Anayefumaniwa ni mwanamke peke yake
ukishakutwa ​ndo utajua vema.