Hivi kwa nini unakata tamaa namna hii.kama wewe ni mrokole mbona wako watumishi wa Mungu wanaweza kukusaidia njia uliyotumia kama kweli umemwamini Yesu si nzuri na kwanini umtafute mwanaume asiye zaa au umeamua kuandika tu kuwafurahisha watu
Unahitaji mlokole, inaonekana umeokoka. Kama umeokoka usikate tamaa na kusema huwezi kuzaa. Yote yawezekana kwake yeye aaminiye, imani yako itakuponya.
Unahitaji mlokole, inaonekana umeokoka. Kama umeokoka usikate tamaa na kusema huwezi kuzaa. Yote yawezekana kwake yeye aaminiye, imani yako itakuponya.