Mwananyamala kwa wahya

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,379
Reaction score
138,029
Leo nmekumbuka kwenda wasalimia masela wangu mwananyamala kisiwani kwenda kushow love kdg nkaamua nile docho lile
Maarufu la wanaokwenda kujipoozaaa kwa wahaya [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ningewaleteni picha nyingi ila wkt napita walivamiwa na Wageni wazee wa kazi
...@Mshana jr

Ova
 
Namuona msela kwa mbaaali anajisogeza,,

Huyo msela katokea kule kwenye ofisi ya mtendaji makaburini,,akimaliza kujipoza hapo kwa wahaya anatokea huku stendi ya daladala anasepa akiwa mwepeeesi kabisa,,
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…