Sasa watu mpo ktk matatizo hiyo hela unaitoa wapi? Ina maana nchi hii tunashindwa kufanya vitu muhimu kama hivi kuwa simple, dah! haya bhana tutafika tu

Hospital nyingi wamepandisha bei makusudi ili watu waache kupata tiba kwa kulipa hapohapo wajanja wanakata bima ya jamii 5,000 kwa kaya mnatibwa mwaka mzima
Sasa watu mpo ktk matatizo hiyo hela unaitoa wapi? Ina maana nchi hii tunashindwa kufanya vitu muhimu kama hivi kuwa simple, dah! haya bhana tutafika tu
Sasa watu mpo ktk matatizo hiyo hela unaitoa wapi? Ina maana nchi hii tunashindwa kufanya vitu muhimu kama hivi kuwa simple, dah! haya bhana tutafika tu
Yote hiyo inatokana na ubishi tu mnaimbiwa kila siku kukata bima ya jamii 5,000 kwa kaya matibabu kwa mwaka mzima hamtaki sasa wameamua kupandisha bei ili mjiunge kwa nguvu

hujaijua serikali ya ccm ilipolenga inataka kuwe na taasisi ambazo itakuwa inakopa pesa kirahisi je unajua serikali ya ccm inadaiwa kiasi gani kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii?

Acha kupotosha kama hujui nini naongelea omba kuelimishwa, Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii ni fedha ambazo zinatumika kwenye kituo husika wala hazipelekwi sehemu yoyote. Kuna Wilaya zimegipa hatua kubwa sana kwa kutumia Mfuko huo Mfano ni Iramba wananchi wengi wamejiunga kwenye mfuko huo, huduma zimeboreka sana na hata tatizo la ukosefu wa madawa limekwisha ukienda hadi kwenye zahanati za vijijini ndani kabisa utakuta dawa za kutosha.