Kila la kheli...Hii ni thread yangu maalum kwa Ajili ya hili kwasababu id yangu common itafanya watu waseme “Hata wewe”?
Lengo la thread hii ni kutaka kukutana na mwanamke mwenye sifa zifuatazo.
1. Awe muelewa sana
2. Awe na upendo na pia ajali
3. Awe na uwezo wa kushauri masuala mbalimbali
4. Maumivu yake ya zamani asiyahamishie kwangu.
Sifa zangu
1. Mwanaume rijali mwenye miaka 35
2. Naishi Dar es Salaam
3. Sio muongeaji sana na hii imekuwa tatizo kwenye mahusiano yangu yaliyopita
4. Bado nina maumivu ingawa sitayahamishia kwako
Mengine tutazungumza PM
Hahaha najua mkuu ila nimeukwepa huo mtego[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu bwana umeweka naneno ya kushawish kweli.. ungeweka na uwezo wako kifedha [emoji23][emoji23] nadhan angewahi kuja
Muelewa kwa kiwango cha kuonekana na anayejali sio wale unapata tatizo anakutosaKila la kheli...
Lakinii...
Muelewa sana kwa kipimo kipi? AJALI unamaanisha nini? AU awe mtu wa kujali?
Kwani wewe jina?
Nilitaka kusema kwani wewe huna? Simu hizi mh
Aaah mie sina vigezo kwa kweli najijua ni kilaza wa kwanzaNilitaka kusema kwani wewe huna? Simu hizi mh
Ukilaza in which area? Huenda huko uliko kilaza wala mi sitajali
KichwaniUkilaza in which area? Huenda huko uliko kilaza wala mi sitajali
Hahaha umetumia kipimo gani kupima level ya ukilaza wako kichwani?