Mwanamke wangu ni kikojozi

Hata mimi Mkuu nilikuja kutaka kutoa ushauri wa kumsaidia huyu mwenzetu, lakini kama ana nnya mpaka kitandani akiwa usingizini huyo hafai hata chembe.

Duuh nilitaka nikushauri kukojoa ila kama hadi anakunya ngoja nisubiri wengine.
 
Ahahahahahaahaha.... thanks God nami nimechangia Uzi tuu.
 
Pole sana...

Ila kuwa mungwana... Mpaka amekubali kuwa ma wewe maana yake mtunzie madhaifu yake...


Cc: mahondaw
 
mpeleke CCBRT watamsaidia tatizo hilo mbona linatibika pale wako vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…