Mwanamke wangu ni kikojozi

Duuu, pole broo itafikia hatua nae atakuomba ule 0713 yake. Hyo ni changamoto kweli. Hekima na busara inatakiwa.
 
..tGo ni janga la kitaifa aisee..watu wanakurupuka tu!! On sasa madhara yake..[emoji35][emoji35]
 
Ni kitu gani hiki, nyinyi vijana mmelelewaje? unatoa siri za mpenzi wako kwenye jamii, aibu kubwa hii
 
Ni yupi mkuu yule binti mrefu wa kadri maji ya kunde mnene wa kadri ambae huwa unakuwa nae mara kwa mara? Au yule white uliyenitambulisha ile siku tunagonga moja mbile pale baa!!
 
Kuna ugonjwa unaitwa FISTURA. Kama asha wahi kuwa na mtoto wahi pale CCBRT kwa uchunguzi zaidi
 

Kalipe mahari utambulike kwao hizo koki zitabana zenyewe tofauti na hilo zitalegea sana iko siku utazoa mautumbo!
 
Mpeleke ccbrt akafanyiwe operation huenda ana fistula huyo ila sasa ya kutoa na choo kubwa mmh!
 
Nilifikiri kukojoa tu, lakini na kutoa 0713! Achana nae haraka! Hana sifa za kuwa mke!
 
Huko sio kupenda aisee, achana nae tu... anakubwagia mimavi kitandani bado unampenda???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…