kamanda vita
Member
- May 25, 2017
- 5
- 2
[emoji23] [emoji23]Duuh nilitaka nikushauri kukojoa ila kama hadi anakunya ngoja nisubiri wengine.
Hiyo ni kukojoa tu, haja kubwa je?Kuna thread niliwahi kuianzisha kuhusu hii hali,
Mkuu usifadhaike shemeji kaishapona tayari.
Tiba kwa mpenzi anayekojoa kitandani.
Habar wakuu. .
Nina mwanamke Wang ambae nimedumu nae takriban miez 10 Japo changamoto ni nyingi sana lakini nimeendelea kumpenda nikiamini atabadilika .
Kwa mala ya Kwanza niliigundua tabia yake ya kujikojolea kitandan
Nilipo amka na kukuta mikojo kumuuliza nkajibiwa BAHAT MBAYA. ..
kwa sasa tabia hii imekua kubwa imefikia Wakat.. Ameanza kuunganisha haja (mikojo pamoja na maaaav) nilipo mbana sana akanambia ukwel kua X wake alikua anampiga 0713 ndio maana anapo jikojolea anashindwa kujizuia kuny*****a
Huyo mwamke bado sijamuoa .. Ushaul wenu jaman.nikomae nae atapona au nimkimbie mapema
NB":kwangu huwa anakuja na kulala mala moja moja .bado sijaanza kuish nae lasmi
Kuna dada mmoja bagamoyo alikaa ulevini na ni maarufu kwa 0713,akaenda kujisaidia haja ndogo pembeni tu ya wenzia,nae KAYAJAZA,ni aibu.nahis kama vile umetudanganya...
Tumia tafsida please, mwanamke gani wewe huna stahaa??![emoji32][emoji32][emoji32]Hiyo ni kukojoa tu, kunya je?
Ww Mimi sifanyi maigizo. .naitaj ushaur Mkuu... Nidanganye nifaidike nininahis kama vile umetudanganya...
[emoji17] [emoji17] nimepitiwaaTumia tafsida please, mwanamke gani wewe huna stahaa??![emoji32][emoji32][emoji32]
Duu kupenda ndo nini..aiseee na ww umeshaur kbs yaanMtafutie dawa kama unampenda na umedhamiria awe mke wako
Sijawah kuskiaEbu ngoja kwanza, wakati unagegeda huwa huskii hiyo harufu ya inya.