A Andika Jina Member Joined Jan 28, 2013 Posts 43 Reaction score 3 Mar 28, 2013 #1 Kutokana na ugumu wa maisha niliyonayo na kwa kwa kujua kuwa wanawake wanaweza,niko tayari kuolewa.Aliye serious ani pm
Kutokana na ugumu wa maisha niliyonayo na kwa kwa kujua kuwa wanawake wanaweza,niko tayari kuolewa.Aliye serious ani pm
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,692 Mar 28, 2013 #2 :biggrin::biggrin: Kuna wanaume wa kukuoa nikuletee...?
Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 Mar 28, 2013 #3 kumbe wanawake tunaoa siku hizi heheee!kuchikuchi hotae inahamia bongo tartiiibuuuu!
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 Mar 28, 2013 #4 Wewe,sasa utakuwa unapika,kufua,kuogesha watoto nk na atakayekuoa utamuitaje?Ugumu wa maisha ndo ukufikishe hatua hiyo?
Wewe,sasa utakuwa unapika,kufua,kuogesha watoto nk na atakayekuoa utamuitaje?Ugumu wa maisha ndo ukufikishe hatua hiyo?
M mwana mpendwa Senior Member Joined Oct 6, 2012 Posts 171 Reaction score 21 Mar 28, 2013 #5 mmh! Watakuja subiri. Jamani ingekuwa mdada angesema anatafuta pendeshee la kumuoa, sasa tajiri la kike linaitwaje? Kijana anataka kusafiria bamia akikanyaga tu kafika. Mh! Ukistaajabu ya Musa, ..........! Kila la heri.
mmh! Watakuja subiri. Jamani ingekuwa mdada angesema anatafuta pendeshee la kumuoa, sasa tajiri la kike linaitwaje? Kijana anataka kusafiria bamia akikanyaga tu kafika. Mh! Ukistaajabu ya Musa, ..........! Kila la heri.
M Maubero JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 1,529 Reaction score 483 Mar 28, 2013 #6 Kihindi zaidi Andika Jina said: Kutokana na ugumu wa maisha niliyonayo na kwa kwa kujua kuwa wanawake wanaweza,niko tayari kuolewa.Aliye serious ani pm Click to expand...
Kihindi zaidi Andika Jina said: Kutokana na ugumu wa maisha niliyonayo na kwa kwa kujua kuwa wanawake wanaweza,niko tayari kuolewa.Aliye serious ani pm Click to expand...
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,626 Mar 28, 2013 #7 wonders shall never end
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,753 Reaction score 109,862 Mar 28, 2013 #8 Mweeh!!! Kweli wewe ni mwanaume jina... Ushapanga idadi ya watoto utaojifungua pia?
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,362 Reaction score 4,125 Mar 28, 2013 #9 Vipi vidume hawaruhusiwi kuku-pm?maana kama issue ni ugumu wa maisha pia wapo tayari kukusaidia!
DSpecial JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 482 Reaction score 162 Mar 29, 2013 #10 Andika Jina said: Kutokana na ugumu wa maisha niliyonayo na kwa kwa kujua kuwa wanawake wanaweza,niko tayari kuolewa.Aliye serious ani pm Click to expand... Aisee hivi huu ugumu wa maisha umefikia kiwango hiki kweli jamani?
Andika Jina said: Kutokana na ugumu wa maisha niliyonayo na kwa kwa kujua kuwa wanawake wanaweza,niko tayari kuolewa.Aliye serious ani pm Click to expand... Aisee hivi huu ugumu wa maisha umefikia kiwango hiki kweli jamani?
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 Mar 29, 2013 #11 Angalia usije olewa na SHEMALE! Andika Jina said: Kutokana na ugumu wa maisha niliyonayo na kwa kwa kujua kuwa wanawake wanaweza,niko tayari kuolewa.Aliye serious ani pm Click to expand...
Angalia usije olewa na SHEMALE! Andika Jina said: Kutokana na ugumu wa maisha niliyonayo na kwa kwa kujua kuwa wanawake wanaweza,niko tayari kuolewa.Aliye serious ani pm Click to expand...