Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,567
Unalalamika mwenyewe, majibu mwenyewe, ushauri mwenyewe, shida yako mwenyewe, unamkubali mwenyewe 🤣🤣🤣 pole ukiwa mtumwa jitumikishe upate tiba ya njaa yakoHuu mwaka wa kuchanganyikiwa kweli!
Huyu mrembo tangu niwe nae kwenye mahusiano simuelewi kabisaa! Bora tu nijikatae au mapenzi sio vitu vyangu.
Huyu mrembo nilimblock miezi kadhaa nyuma kwa sababu mahusiano hayakuwa well balanced. Yaani mi ndo nimtafute, nimcall, text. Ila yeye mpaka ajisikie. Sasa huko ni kujikomba.
Alikuja kunitafuta baada ya miezi 2 na kulalamika na kudai nautesa moyo wake. Nikasema isiwe kesi nikamkaribisha tena. Siku za mwanzoni, mrembo alikuwa serious. Ubusy hamna, communication vizuri na upatikanaji.
Haya sasa, baada ya wiki mambo yakarudi yaleyale. Hamna ugomvi wala nini mtoto mwendo wa kunikalia kimya. Ukituma sms zinajibiwa after masaa au muda mwingine hamna. Nikaona isiwe kesi, nikavunga. Baada ya siku kadhaa ananitafuta na malalamiko kwamba nimebadilika simjulii hali wala nini? Mtu kama huyo unamfanyaje?
Sasa nimeamua kukaa kimya siku ya tatu sasa.
Nashukuru Mungu mahusiano nishayavulia nguo kitambo japo namkubali sana ila hisia hazizidi uwezo.
All in all huu mwaka wa kuchanganyikiwa, hivyo tuwe makini.
Keep focusing on money, food and hobbies, love is a scam
Beef cow kitimoto PorkUnalalamika mwenyewe, majibu mwenyewe, ushauri mwenyewe, shida yako mwenyewe, unamkubali mwenyewe 🤣🤣🤣 pole ukiwa mtumwa jitumikishe upate tiba ya njaa yako
Hapana ila nilikuwa nadraw attention na kumjali... Kumbe yeye anawaza mapenzi na ndoa... Ghafla akajitumbua jipuUlikuwa unampenda sana?
Sasa kama ulikuwa unampa Attention na Kumjali ana kosa gani anapokuona unafaa kumuoa? Hilo nalo unataka kumlaumu?Hapana ila nilikuwa nadraw attention na kumjali... Kumbe yeye anawaza mapenzi na ndoa... Ghafla akajitumbua jipu
Huo mchoro wa unhealthy r/ship ni kama ya ww na yule demu wako aliesoma kibasila
Shirki hizi Sasa.Huo mchoro wa unhealthy r/ship ni kama ya ww na yule demu wako aliesoma kibasila
Tatizo umri wake halafu amenizIdi na elimu pia halafu ni mke wa mtu mwenye ndoa isiyo na furaha lkn pia ni singo Maza wa watoto watatuSasa kama ulikuwa unampa Attention na Kumjali ana kosa gani anapokuona unafaa kumuoa? Hilo nalo unataka kumlaumu?
Kaka mbona unajichanganya.....unasema ni Mke wa mtu mwenye Ndoa na pia ni Single Maza?Tatizo umri wake halafu amenizIdi na elimu pia halafu ni mke wa mtu mwenye ndoa isiyo na furaha lkn pia ni singo Maza wa watoto watatu
Yeah ashatamka wazi kuwa hana ndoa na anahitaji kulewa na tayari ashavuruga ndoa yakeKaka mbona unajichanganya.....unasema ni Mke wa mtu mwenye Ndoa na pia ni Single Maza?
Nakuwekea uzi wa jamaa uusome. Utakujenga sanaSerious ndugu yangu.
OkYeah ashatamka wazi kuwa hana ndoa na anahitaji kulewa na tayari ashavuruga ndoa yake
NImeangalia Avatar yako nikaimagine mtu flani hivi serious sanaaa ambaye hayumbishwi na mapenziUna maana gani ngumu
Kanambia nikukumbushe valentine ni IjumaaShirki hizi Sasa.
Umekuwa na uchu Kama Wassira.
Aah Niko na huyu namwambiaga I'm Rich.Kanambia nikukumbushe valentine ni Ijumaa