EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
USITUSEMEE WENGINE HIO TABIA YAKO PEKE YAKO π π πAsa mpaka mwanaume ufike muda wa kujiongeza anakuwa ashaliwa kitambo cku anayo kuja kuomba hela ndo mwisho
USITUTISHE!!!!Usipoombwa tafakari
USITUSEMEE WENGINE HIO TABIA YAKO PEKE YAKO π π π
KWAMBA NILIKUFA KAGERA AU NDO NILIYEBAKIAWanaume wa hivyo walikufa kwenye vita ya kagera nahis ww ni mwenyekit kabisa
Wa sasa ukiombwa hela ndukiKWAMBA NILIKUFA KAGERA AU NDO NILIYEBAKIA
Lazima nikimbie mkuu sasa kabla ya mimi alikua anaishije? Kua na mimi ndo ageuke yatima gafla.. Kimbia na usiangalie nyumaWa sasa ukiombwa hela nduki
Ushakula mzigo nn cha kusubir hapoLazima nikimbie mkuu sasa kabla ya mimi alikua anaishije? Kua na mimi ndo ageuke yatima gafla.. Kimbia na usiangalie nyuma