Mwanamke ukiona anakuomba sana hela jua hajakupenda ila antaka apate tag kutoka kwako...mwanamke anaekupenda kwa dhati hawezi kukuomba hela kwa sababu zifuatazo.
1. Kutokana na upendo wake wa dhati kwako anaona aibu kukuomba hela hata kama anashida kiasi gani atatafuta namna nyingine ya kutatua shida yake.
2 .kutokana na upendo wake Wa dhati ataogopa kukuomba hela kwa kuhofia kukupoteza maana anajua inaweza kupelekea mwanaume kumuacha.
will try this,ushauri mzuri huu hasa kea sisi went helaMwanamke ukiona anakuomba sana hela jua hajakupenda ila antaka apate tag kutoka kwako...mwanamke anaekupenda kwa dhati hawezi kukuomba hela kwa sababu zifuatazo.