Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,916
- 3,748
Umetumia kilaji gani leo maana nasikia harufu fulani ya Charles Kitwanga au sio kweli?1.mweupe ama light skin 2.bikra 3.mwenye shepu 4.mwenye heshima 5.asiependa starehe 6.asiye na dharau na mcha mungu. ninaomba mungu anipe mke mwenye hiv vigezo.
Labda anatafuta bikra ya nyuma sio mbele2026 mwamba anatafuta bikraView attachment 3565135
Umetumia kilaji gani leo maana nasikia harufu fulani ya Charles Kitwanga au sio kweli?
Kitwanga alifurahisha BungeKitwanga! Umenikumbusha mbali sana, tulianza kuita Bia Kitwanga.
nipo hapa coco beachUmetumia kilaji gani leo maana nasikia harufu fulani ya Charles Kitwanga au sio kweli?
Labda anatafuta bikra ya nyuma sio mbele
Unakunywa nini hapo Charles Kitwanga au nini?nipo hapa coco beach
Fire on fire, pointed imenyooka mkuuWhile you're waiting for the right one, have some fun with the wrong ones..
Nina piga wine hapa kakaUnakunywa nini hapo Charles Kitwanga au nini?
Sio bia?Nina piga wine hapa kaka
Akishakua na shepu hawezi kuwa bikra.1.Mweupe ama light skin 2.Bikra
3.Mwenye shepu 4.mwenye heshima
5.asiependa starehe
6.asiye na dharau na mcha mungu.
Ninaomba mungu anipe mke mwenye hiv vigezo.