Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,587
teh ni mbavu za kushoto/kulia ama kotekote.Mbavu
kuna tofauti kati ya nini na nani, waweza ulizwa wewe ni nini(what is you?) au ukaulizwa wewe ni nani(who is you?) kiswahili ni kipana brother. Sikutaka kujua mwanamke ni nani bali ni nini?rekebisha swali kwanza, uliza mwanamke ni nani
hongera maana hata mama zetu walivumilia mengi kutulea hadi tulipojitegemea.Mwanamke ni kiumbe mvumilivu sana
safi tena ni bora akalegalega mwanamme angalau familia yaweza kusonga ila akilegalega mwanamke familia haiendi popote.sawa, basi jibu langu ni mwanamke ni mhimili wa familia.
ukirudi nyumbani nyumba safi, chakula kimepikwa vizuri, watoto wameoga na madaftari yamekaguliwa, kilichobaki ni kumpiga mabusu mamsapu tu maana hamna namna.safi tena ni bora akalegalega mwanamme angalau familia yaweza kusonga ila akilegalega mwanamke familia haiendi popote.
teh teh kwa kweli kwa mwenendo huo mwanamme utaishi kwa miaka mingi na kwa amani.ukirudi nyumbani nyumba safi, chakula kimepikwa vizuri, watoto wameoga na madaftari yamekaguliwa, kilichobaki ni kumpiga mabusu mamsapu tu maana hamna namna.
hongera, tena huwa akipenda anapenda kweli ila kama hakupendi bhasi hakupendi kweli hata umshawishi sana utaishia kudanganywa tu.Mwanamke ni kiumbe mwenye upendo sana.
kweli kabisa mwanamke akikupenda kakupenda, hata uwe mpiga gambe kama mimi akikupenda kakupenda aisee.hongera, tena huwa akipenda anapenda kweli ila kama hakupendi bhasi hakupendi kweli hata umshawishi sana utaishia kudanganywa tu.
duh hatari, akikorogwa anageuka mbogo bhasi wanaume wamesikia.Mwanamke ni mzazi,mama,mlezi,mshauri,mwalimu,rafiki,mke na malkia wa nguvu!
Ila huyo mwanamke ukimkoroga maini,ni jambazi,adui ma kiumbe mkatili toka kuumwa hawajawahi tokea!!!na hatotokea kama yy!
Halafu anayetakiwa kupewa pesa non stop.. Teh teh tehMwanamke ni kiumbe mwenye upendo sana.
Yaani kama ulikuwepo, mule mule.Halafu anayetakiwa kupewa pesa non stop.. Teh teh teh
teh mkuu wewe ni mpiga gambe kweli? Au ndiyo ile wanasema, jishushe upandishwe!kweli kabisa mwanamke akikupenda kakupenda, hata uwe mpiga gambe kama mimi akikupenda kakupenda aisee.
Hapo nimegusa sakafu ya moyo wako...Yaani kama ulikuwepo, mule mule.