Kama unayemtafuta ni mwanamke mzuri wa sura, una kazi kubwa kwani wapo wengi, na baadhi yao uzuri wa sura zao siyo halisi, umekarabatiwa kwa namna mbali mbali. Mimi ninakupa ushauri, utafute "Mke MWEMA" ambaye sifa zake zimeorodheshwa hapa: Biblia Takatifu, "Mithali 31:10-31". Zingatia sana Mstari wa 30. Anapatikanaje? Kwa kuomba na kwa kufunga....!