Ana ujauzito wiki 23, anavimba saana miguu especially akikaa kwa muda mrefu. Vipimo vya presha vinaonyesha ipo normal. Naomba msaada, je ni nini sababu? Je ni nini tiba?
Charliemic, Swelling is a normal part of pregnancy that is caused by this additional blood and fluid. Normal swelling, which is also called edema/Oedema is experienced in the hands, face, legs, ankles, and feet.
Labda mazoezi ya kutembea. Apate ushauri zaidi wa daktari ama wajawazito wengine au akina mama/dada wenye watoto tayari
Mimi hio hali ilinipata ila sio kwa wiki hizo ni wiki kuanzia 37 na niliambiwa tu presha imeshuka japohua ni kawaida kuvimba miguu kwa mjamzito akifikisha miezi ya mwishoni angekua mwanzoni hio ndio nbaya zaidi akikaa aweke mto miguuni aionyooshe juu ya mto itakaa sawa tu
Kwa wiki 23 ni mapema sana. Je mmepima mkojo wa mama kijacho?.Hyo n dalili mbaya ambayo mwishon hupelekea mtu kupata kifafa cha mimba.
Akapime mkojo Charliemic