Mwanamke kifua bwana!!

Maisha yanakimbia kwa kasi sana, kipindi nabalehe dili ilikuwa ‘English Figure’ mara upepo ukahamia kwenye rangi nyeupe.... sijakaa sawa ikawa chura ndio kila kitu.

Kabla hata sijafaidi vya kutosha hii chura sasa imekuwa kifua, jamani eeh mnatuchosha bhana wafuata upepo.... tunaoumia ni sisi tunaowaamini.

Usiku utapokwisha
 
Huu ushauri niliopewa na best yangu ni wa kitaalam pia

Kujisifia kifuani kwa nyakat hiz ni kupitwa na nyakat,wengi macho yetu yapo Nyuma kwako km huna pita hiv


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Mbinu gani jamani
 
Babu yako Asprin anajua kuwa ziwa lipo?
 
Pusher mnakuwaga real sana, hamjui kupinfidha ukweli..hongera
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harrier tako la nyani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…