Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,048 Reaction score 13,495 Mar 29, 2013 #1 unakuta demu mzuri lakini amechanjwa kifuani, na wengine kiunoni> kwanini? mnatutisha wenzenu!
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,675 Mar 29, 2013 #2 wakiambiwa wasidharau mila za kwao wewe waelewa vipi?
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,048 Reaction score 13,495 Mar 29, 2013 Thread starter #3 The Boss said: wakiambiwa wasidharau mila za kwao wewe waelewa vipi? Click to expand... mbona mila zenye maana hawaigi ila kuchanjwa na huo ushirikina wao
The Boss said: wakiambiwa wasidharau mila za kwao wewe waelewa vipi? Click to expand... mbona mila zenye maana hawaigi ila kuchanjwa na huo ushirikina wao
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Mar 29, 2013 #4 he he he he; muulize kwanza kwa nini kachanjwa, labda alikuwa anaumwa kifua: ila kiukweli zinatisha.
s.fm JF-Expert Member Joined Jul 8, 2009 Posts 663 Reaction score 117 Mar 29, 2013 #5 Tamaduni hizo mkuu...!
Kingmairo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 4,936 Reaction score 3,549 Mar 29, 2013 #6 Chale=traditional, Tatoo=modern! it is the same thing, ila wenye tatoo za vifuani, kwenye manyonyo na nyuma hawawatishi.
Chale=traditional, Tatoo=modern! it is the same thing, ila wenye tatoo za vifuani, kwenye manyonyo na nyuma hawawatishi.
Open-Minded JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 278 Reaction score 165 Mar 29, 2013 #7 BINAMU YAKO said: mbona mila zenye maana hawaigi ila kuchanjwa na huo ushirikina wao Click to expand... Kazi kweli kweli naona hata kuelewa maana ya mila ni tatizo bado sina hakika kama kuchanjwa ni uchawi.
BINAMU YAKO said: mbona mila zenye maana hawaigi ila kuchanjwa na huo ushirikina wao Click to expand... Kazi kweli kweli naona hata kuelewa maana ya mila ni tatizo bado sina hakika kama kuchanjwa ni uchawi.
M musubati JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 217 Reaction score 60 Mar 29, 2013 #8 Chale inategemea amechanjwa kwa sababu gani ila zamani mtu ukiumwa walikuwa wanakuchanja kwa madhumuni ya kutoa damu chafu Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Chale inategemea amechanjwa kwa sababu gani ila zamani mtu ukiumwa walikuwa wanakuchanja kwa madhumuni ya kutoa damu chafu Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums