Mwanamke hahitaji muda mrefu kuandaliwa


ni kweli but still be carefuly nna wasiwasi na kilichobaki kupotea kabsaaa.
cha muhimu utokapo hatua uliyopo kuelekea kwenye mabadiliko usisahau kumuhusisha mungu akusaidie kwani naamini kwa macho yako kwa akili yako kwa uzoefu wako wa kukwepa mishale mingi bado wawexa nasa tundu bovu.
 

Nitazingatia Ushauri Wako,Nitazidi Kumtegemea Mwenyezi Mungu Maana yeye ndiye Anajua Mahitaji yetu zaidi ya sisi Wenyewe,
Asante Kiongozi,Barikiwa sana.
 
Nitazingatia Ushauri Wako,Nitazidi Kumtegemea Mwenyezi Mungu Maana yeye ndiye Anajua Mahitaji yetu zaidi ya sisi Wenyewe,
Asante Kiongozi,Barikiwa sana.

Aaamin, nawe pia.
 
Sasa saivi nimewapa wanaume likizo,

How do I satisfy my sexual desires??

weeel said,.i understood u completely dada,..u no,there is a point here most of us,men,do not no,..the topic put forward is correct,but sexual acts,for females goes hand in hand with the internal feelings n lov they got to the sex met/partner,therefor,most women for them to reach orgasm,first,they must love the guy they r with,mwanamke akimpenda mwanaume anaefanya nae mapenz bas hata kiss tuu au kumnyonya maziwa hua inamuaamsha sana hisia,n hua baada ya hapo hata kwa dk10 tuu hua anaweza fika kilelen,so my advice to the lady,is,make sure hufany tuu mapenz coz jamaa hapa wana convince ooh,let me show u etc,if ua not comfotabo wit them,hata wafanye nin,hautofika orgasm,n ningeshaur bora uendelee na toy yako until u get the right man for u n dont rush,dildo doesnt kill,use it until u find the right man,n am sure ukimpata,hutotaka tumia hyo kitu tena
 

Wajamaa unampotosha huyu dada, we kausha sasa ushauri gani unatoa wa kihafidhina namna hii mmh?
 
maandalizi ya mwanamke hubadilika kutoka mwanaume mmoja kwenda mwingine... experience varies wenyewe wanasema!

kuwahi ama kuchelewa kunachangiwa na pande zote mbili...


ukishikwa, shikamana... usiposhikamana sasa, hapo ndipo penye shida zaidi!
 
Wanawake hutofautiana kabla siaowa nilikuwa na mwanamke pale udodomia kwakweli sjawai kuona mwanamke kama yule ukiwanae kwenye 6by6 yeye hataki vurugu anataka stor na kumshika anaregeya san na kulowa ukiingiza bou analalamika hapendi usuguwe sana dakika 10 yeye kafika kileleni hata mara 4 baada ya hapo ni mimi saa naumia kwani mimi nisha zoweya bao tatu alinitesa na siwezi nikamsahau lakini kwa huyu mke wangu yeye bila kugeuzana aise hakuwelewi kabisa hanataka masay yote mgeuzane kwa mda mrefu
 

interesting experience Mkuu!!
 
Kaka fiksiman unajua kuna dada zetu wa makabila mengine huwa wanakatwa "VCM" vyao na hao unategemea utawafikisha juu ya mlima kwa muda huo?
 

Ndo maana tunatakiwa kuwa kuwa mabikira wote kabla ya ndoa ili usianze kufananisha utamu wa zamani na wa ndoa
 
Niliwahi kukuaa na wadada wakjiachia kwa kusema, mmoja alisema kuna wanaume wanalamba matiti tu kama koninza bakhresa, Ambavyo yanatakiwa yanyonywe kama vile mtoto afanyavyo, ansema ukimnyonyonya wanamke mbavuni kuna msisimko pia, sio lzima kwenda chumvini.
Mwingine akasema anapenda rom ya muda mrefu. Anaongezea mwanume analala anaopewa huduma zote, ikifika zamu ya yeke ya kumpa maromance mwanmke yeye anaparamia na kuanza rigwaride. Jamani ndio wanawake wengi wanachepukia kule wapovikosa kwao.
Nadhani cha muhimu ni kuelezana mie napenda unifanyie hiki na hiki na kile. Sio kuwa tu mnaburuzana tu bora liende. Na kwanaume iwe isiwe mtufika tu kileleni ila kwa mwanmke inakuwa ngumu kufika.



 
Kaka fiksiman unajua kuna dada zetu wa makabila mengine huwa wanakatwa "VCM" vyao na hao unategemea utawafikisha juu ya mlima kwa muda huo?

hahaha, tatizo lako wewe ni kuzama chumvini tu. zipo idara zingine ukigusa anafika hata kama hujamgusa chini.
 
Ndo maana tunatakiwa kuwa kuwa mabikira wote kabla ya ndoa ili usianze kufananisha utamu wa zamani na wa ndoa

Point japo hili ni sawa na kusubiria meli airport
 
Hapa utawapata wale wenye swaga za kuku sekunde nyingi lakini kwa wale wapiga kasia za kutosha mpaka wanadiliki kutafuta mafuta ya mgando kulainisha utafiti wako huwapati hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…