kuwa makini kaka matapeli ni wengi mno hapa,lakini lililo la msingi mtangulize Mungu aakupe kilicho chema,hata hivo usikae na kusubiri sana wakuPM,na wewe chukua hatu ya kuperuzi peruzi thread za nyuma kuna wadada wengi waliotuma maombi unaweza kuwaulizia huenda Mungu akawa upande wako na ukapata.
Good lucky.