mwanamke achunwa ulaya????

bidodo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
217
Reaction score
90
heee makubwa jamani. Mwanamke wa huku hapendi kufadhiliwa na mwanaume. yeye anapenda kumpiga mwanaume masuprise kem kem na akipigwa yeye anafurahi ila atafanya kila njia arudishe fadhila kwa kuyaona hapa chuoni. na anasema mii naona tabu vooo mwanaume anipe hiki hiki hiki siipendi i feel bad.

Tena nikaja gundua wanaume wa huku wabahili ajabu. niliyaona haya baada ya mwanaume mmoja kunifata .basi huyu mwanaume akasema wewe mtoto mzuri nataka kuwa na wewe cuz unasoma ukimaliza unakazi yako na mimi yangu hatutohangaishana kifedha.heeee yeye yuko kwenye hella ndo aloiweka mwanzo lakini kanikuta bado sitaki kujihusisha na hayo.

Basi wanawake wa Tanzania wachuneni kaka zangu wa kibongo huko aiseeee ukija huku huyapati ayo hamna kudeka huku. wachuneni ao msiwawache huku hamna kudeka.
 
Aaaah! Wapi! Mbona Mume wake Mange anachunwaa mpaka mifupa! Chezea shopping za CL, snickers za Tommy, pochi LV, mzungu anajuuuuuuuuuuuuuuuta! kumuoa mbongo! Heri angechukua mzungu tu ndo ange save! Mie mchunaji ila nahuruma kidogo! Yule kazidi! Akhaaaaa!
 
hahah lara 1 usinichekeshe kumbe wakija huko huchunwa ajabu eeeeeeeeee.
 
Last edited by a moderator:


Ndo shida ya kuoa mwanamke wa kibongo mwenye mtazamo wa kujifananisha na ma super stars wa kimarekani. Wale super stars wana millions of dollars siyo mshahara wa 6 figures. Sasa tatizo linakuja hapa, unaoa mwanamke mbongo mwenye fikra za kutaka kushindana na Kim K. unajikuta mwanamme unachunwa mpaka unajuta kwanini ulizaa na huyo demu maana kumwacha unashindwa unabaki kumchekea kwa kijino pembe huku ukimwombea afe uanze mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…