Babu wa Kambo
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 559
- 808
Tatzo ndo walioshika uchumi, mtaanzaje?Na sisi tuanze kuwafanyia hapa bongo
Tutakuwa tunaminya mmoja mmojaTatzo ndo walioshika uchumi, mtaanzaje?
Wanatuzidi pesa lakini kwa mkono hawatii mguu
Ili tupunguze dharauWenzetu wanapigania uchumi wewe unawaza kupigana tu, ni kweli watanzania tulinyimwa akili...
Na sisi tuanze kuwafanyia hapa bongo
Tunaanza na machokoraa wapo wengi tu mtaani wasiokua na hili wala lile alafu ndo wabaguzi kuliko hata wenye pesa zaoTatzo ndo walioshika uchumi, mtaanzaje?