Mimi nimesoma Chuo na jamàa wanavuta bangi sana, Ila class wapo smart na huwezi kujua huyu anavuta bangi sijui kaungua mdomo sijui mdomo umekua mweusi hakuna, kuna sehemu moja nilikua napiga kazi sasa kipindi hicho mimi ndio nimejoin baada ya siku mbili tatu sina hili wala lile tukawa tunatoka mda wa break tunaenda kupata chakula eeh team yangu yote nikaja kubaini kumbe wanavuta bangi kuanzia team leader mpaka wanawake wale madada du sikuamini macho yangu tena wanawake ndio wanapewa wanyonge msokoto, nikachoka kabisa Ila ukiingia ofisini ni smart sana pamba kali wamechomekea fresh muonekano nadhifu Ila wakimaliza kazi ni mwendo wa bangi tuNa hawa madogo bangi smart pia walikuwa wananyota ya kupendwa sana na mademu ingawaje walikuwa maselective sana,hawali kila demu
Diss track kwa GardinerNje ya mada
Nasikia Ile nyimbo ya jide wanaume Kama mabinti ilikuwa ni diss track kwake
Dah!,hadi mademuMimi nimesoma Chuo na jamàa wanavuta bangi sana, Ila class wapo smart na huwezi kujua huyu anavuta bangi sijui kaungua mdomo sijui mdomo umekua mweusi hakuna, kuna sehemu moja nilikua napiga kazi sasa kipindi hicho mimi ndio nimejoin baada ya siku mbili tatu sina hili wala lile tukawa tunatoka mda wa break tunaenda kupata chakula eeh team yangu yote nikaja kubaini kumbe wanavuta bangi kuanzia team leader mpaka wanawake wale madada du sikuamini macho yangu tena wanawake ndio wanapewa wanyonge msokoto, nikachoka kabisa Ila ukiingia ofisini ni smart sana pamba kali wamechomekea fresh muonekano nadhifu Ila wakimaliza kazi ni mwendo wa bangi tu
Hao ndio usipime wanavuta sana TU,Dah!,hadi mademu
Pumbavu huna akili! IFM kasoma Cheti cha IT, then kasoma Diploma ya Bima, then kaenda kusoma UK,Masters ya Finance! Sasa kafikaje Masters wakati hana sifa zakusoma hiyo ndude??Mzee acha ujinga fa ana master Tena alienda kusoma uk na degree kasomea ifm hapo
Pumbavu huna akili! IFM kasoma Cheti cha IT, then kasoma Diploma ya Bima, then kaenda kusoma UK,Masters ya Finance! Sasa kafikaje Masters wakati hana sifa zakusoma hiyo ndude??
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Advanced Diploma=DegreeIFM alisoma Diploma, acha ujuaji wewe
Vijana wa mziki mna taabu sana, tangu ushoga uingie huko imekuwa balaa
CV ya boss wenu hiyo
View attachment 2564437
Uwakatae marafiki zako wazamani kisa kugombea ubunge na kushinda, na Kisha kula teuzi, tukumbuke fadhila na tulipotoka.Toka mitaa ya Upanga Kilombero ama Kalenga kuvuta bangi na washikaji mpaka Mjengoni. Muite MwanaFA.
Kuna muda ukitaka kutoboa kwenye haya maisha kuna maisha inabidi uyakatae na baadhi ya marafiki uwakatae completely.
Kwa maisha walioishi akiwa East Coast MwanaFA binamu asingefika hapa alipo kama angeendelea kubaki kule.
Ugomvi wake na GK na kundi la East Coast ndio umemfanya kubadili dira ya maisha huku king Crazy GK akiwa bado na mtazamo ule ule wa kuwa Gangster real OG
Chagua marafiki vizuri
Ambayo yeye FA aliifanya makumbusho ya taifa akiwa na njenjeLabda ulikua bado mdogo,sio kweli,kipindi icho kulikua na bifu Kat ya jide na ruge,na Kati kina sugu na na ruge.jide alikua na show ,na mwana fa alikua atumbuize,ghafla akaamua kua upande wa ruge na yeye akatangaza show yake siku hiyo hiyo ya show ya jide.bifu likaanzia apo.na huo wimbo ukaja kutoka.ule wa ndi ndi ndio ilikua dis kwa gadner
Ewaaa,na Kuna nyingineAmbayo yeye FA aliifanya makumbusho ya taifa akiwa na njenje
Kwenye diploma hakuna SUPP? Niamini ndugu nakupa taarifa za jikoni kabisa hapa, au unataka nianike hadi matokeo yake ya semister aliyo supp hadi kujikuta anatumia miaka yote hiyo kuhitimu diploma?Mkuu Mwana FA alisoma Advance Diploma IFM ,Labda ni Typo kwenye web ya bunge! Nilikuwa naenda IFM kumtembelea jamaa yangu alikuwa anasoma naye Advance Dip......Halafu Dip ni mwaka mmoja tu , Advance Dip ni miaka mitatu.(eqvnt 2 Degree)
Kwenye diploma hakuna SUPP? Niamini ndugu nakupa taarifa za jikoni kabisa hapa, au unataka nianike hadi matokeo yake ya semister aliyo supp hadi kujikuta anatumia miaka yote hiyo kuhitimu diploma?
Ni kama PhD za akina Babu tale tuPumbavu huna akili! IFM kasoma Cheti cha IT, then kasoma Diploma ya Bima, then kaenda kusoma UK,Masters ya Finance! Sasa kafikaje Masters wakati hana sifa zakusoma hiyo ndude??
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kama alisoma Advanced Diploma hapo sawa! Maana hata mimi nilisoma Advanced Diploma then, after 3 years nikaenda kusoma Masters Degree!IFM hakusoma Diploma. Bali alisoma Advance Diploma ambayo inachukua miaka mitatu kama degree.
Advance diploma inakupa nafasi ya kusoma Masters bila shida yoyote
Kumuona mtu yuko chuo na kujihakiki na anachosomea ni vitu viwili tofauti. Hatutaki kumdhalilisha Boss wenu hapa, tungeweka matokeo yake ya supp ili uone namna alivyo hangaika kuipata hiyo diploma yake ya Bima hapo IFM.Mkuu mimi siyo taarifa za kupewa ,mimi nimemuona anasoma IFM na akamaliza...Nilikuwa naenda hadi room kwao.
Nadhani 30 ni umri sahihi kwa mwanaume kuoa.
Kumuona mtu yuko chuo na kujihakiki na anachosomea ni vitu viwili tofauti. Hatutaki kumdhalilisha Boss wenu hapa, tungeweka matokeo yake ya supp ili uone namna alivyo hangaika kuipata hiyo diploma yake ya Bima hapo IFM.
Hiyo masters yake ni kama PhD ya Babu tale na Msukuma tu