Mwanadayaspora "mpigaji" awa gumzo

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,757

Maelezo ktk screenshot hapo juu yanasema huyo jamaa "kampiga" mmama wa watu mimilioni ya dorali kwa sasa anatafutwa na polisi wa mayville north Dakota,USA.

Hii ni picha yake nyingine akiwa na mama yake mzazi nadhani, ila sina hakika.
Chanzo: Help each other

NB.
Duh!!...wabongo noma, mnapiga mpaka nchi za watu mmetisha.
 
Mbona kama yupo na bibi yake flani hivi amazing
au macho yangu yamevaa miwani
ina maana huyo bibi ndio kaoshwa hayo mapene ya dolari..??

 
Mbona kama yupo na bibi yake flani hivi amazing
au macho yangu yamevaa miwani
ina maana huyo bibi ndio kaoshwa hayo mapene ya dolari..??
nadhani huyo ni mama yake mzazi...nahisi jamaa wanaomtafuta wameamua kuiambatatisha ili kurahisisha zoezi la kumtambua.
 
Hata ningemfungia ndani mimi nisinge mwonyesha wanawake wa hivyo lazima wapigwe kwa ujinga wao
 
Mbona jamaa mwenyewe anaonekana bandidu mshika chuma
 
Mbona jamaa mwenyewe anaonekana bandidu mshika chuma
hamna kitu hapo huo mwili tu.watamkamata tu.labda achukue mwewe haraka aje ajifiche bongo.

lakini kama bado yupo ndani ya ardhi ya Donald Trump, watamkamata tu huohuo ubaunsa wake.
 
Watu wanaishi kwa akili.

Ukijaa unapigwa tu haijalishi hata kama wewe ni mama,bibi au mchungaji.
 
Mbona jamaa mwenyewe anaonekana bandidu mshika chuma
hamna kitu hapo huo mwili tu.watamkamata tu.labda achukue mwewe haraka aje ajifiche bongo.

lakini kama bado yupo ndani ya ardhi ya Donald Trump, watamkamata tu huohuo ubaunsa wake.
 
Mbona jamaa mwenyewe anaonekana bandidu mshika chuma
hamna kitu hapo huo mwili tu.watamkamata tu.labda achukue mwewe haraka aje ajifiche bongo.

lakini kama bado yupo ndani ya ardhi ya Donald Trump, watamkamata tu huohuo ubaunsa wake.
 
Kwa USA atakamatwa tu mapema sana na amejiharibia tu.
 
Mkuu hii ya kujiharibia maisha hivi ni noma. Sasa imekula kwake cha moto atakiona.
Sasa hapo ndio itambidi aishi kwa akili zaidi maana hizo millions dollars ni ngumu kuzisamehe.
 
Reactions: BAK
Aiseee
 
baadhi ya wanaume sijui kwa nn wamekua hivi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…