MAHELO. E.B Member Joined Aug 13, 2013 Posts 27 Reaction score 6 Dec 8, 2013 #1 Hivi ni kweli maisha ya Mwanadamu hubadirika kama vile Kinyonga abadilishavyo rangi kutokana na mazingira aliyomo? Jaribu kutazama tulipotoka, tulipo sasa na tunapokwenda katika nyanja mbalimbali.
Hivi ni kweli maisha ya Mwanadamu hubadirika kama vile Kinyonga abadilishavyo rangi kutokana na mazingira aliyomo? Jaribu kutazama tulipotoka, tulipo sasa na tunapokwenda katika nyanja mbalimbali.
BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,462 Reaction score 7,006 Dec 8, 2013 #2 mwanadamu abadiliki ni yule yule wa jana na leo sema amevaa nguo nyingine.
O Oyono JF-Expert Member Joined Sep 9, 2013 Posts 222 Reaction score 35 Dec 8, 2013 #3 Ni kweli mkuu make tumesha shuhudiana mara kibao!!